“Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit sed.”

Rebecca Wood

Marketing Director

Miliki, Jenga, ongeza kipato chako

Fikia Upeo tumejidhatiti katika kuelimisha jamii kwenye sekta kama vile Miliki Kuu (Real Estate) yaani ardhi na nyumba katika upana wake ukianzia hatua ya umiliki wa kiwanja hadi ujenzi wa nyumba. 

Huduma tunazotoa

Zifuatazo ni baadhi ya huduma tunazotoa.

Ushauri kuhusu masuala ya Ardhi

Ardhi ni sekta pana, ndani yake kuna kumiliki ardhi, kuendeleza, kupanga na kupima ardhi, kodi za Serikali na mambo mengine mengi. Aidha zipo changamoto nyingi na fursa nyingi pia kwenye sekta hii.

Ushauri kuhusu Ujenzi wa nyumba

Mahitaji makuu ya binadamu ni chakula, malazi bora na mavazi. Sisi tunahusika na eneo la malazi ambapo tunatoa ushauri mbalimbali kuhusu ujenzi wa nyumba, vibali vya ujenzi, uboreshaji wa mandhari ya nyumba na mnyororo mzima wa ujenzi na usimamizi wa nyumba.

Uwekezaji katika sekta ya miliki kuu

Tunawekeza katika sekta ya miliki kuu yaani ardhi ya nyumba. Hivyo tunanunua na kuuza viwanja au mashamba. Ikiwa unaka kuuza au kununua viwanja/mashamba wasiliana nasi.

Uandishi wa vitabu

Kazi yetu kuu ni kutoa elimu katika jamii kibiashara. Tunavyo vitabu kadhaa vya elimu ya fedha na uchumi tulivyokwisha kuandika. Lakini pia vipo vitabu vingine tunaendelea kuandika. Jipatie nakala yako vitakusaidia pakubwa katia eneo la uchumi

Uandishi wa vitabu

Kazi yetu kuu ni kutoa elimu katika jamii kibiashara. Tunavyo vitabu kadhaa vya elimu ya fedha na uchumi tulivyokwisha kuandika. Lakini pia vipo vitabu vingine tunaendelea kuandika. Jipatie nakala yako vitakusaidia pakubwa katia eneo la uchumi

Best Reasons To Choose Our Services

Nulla eleifend pulvinar purus, molestie euismod odio imperdiet amet erat nec nibh rhoncus varius in non lorem pretium viverra suspendisse.

0 +
Years of Experience
0 k+
Happy Clients
0 %
Satisfaction
Laurel Miller

Marketing Agency Director

5/5

Aenean sed nibh a magna posuere tempor. Nunc faucibus pellentesque nunc in aliquet donec congue nunc vel tempor congue.

Randy Wallace

Design Bureau Director

5/5

Donec congue, nunc vel tempor congue, enim sapien lobortis ipsumin volutpat sem ligula. Nunc purus est, consequat condimentum.

We Can Inspire And Transform Your Business

Maecenas interdum lorem eleifend orci aliquam mollis aliquam non rhoncus magna suspendisse aliquet tincidunt enim.

Project Management Tools

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit sedudo.

Software Proposal

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit sedudo.

Cloud Automation Architecture

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit sedudo.

$999

Work Process

Maecenas interdum lorem eleifend orci aliquam mollis aliquam non rhoncus magna suspendisse aliquet tincidunt enim.

Nunc Scelerisque Viverra

Quisque sagittis purus sit amet. Neque aliquam vestibulum morbi blandit cursus risus at ultrices.

Tincidunt Eget Nullam

Quisque sagittis purus sit amet. Neque aliquam vestibulum morbi blandit cursus risus.

Libero Consequat Interdum

Quisque sagittis purus sit amet. Neque aliquam vestibulum morbi blandit at ultrices.

Je, ni jambo gani ungependa tulizungumize?

Tunatoa ushauri kuhusu masuala ya ardhi, ujenzi wa nyumba na ujasiriamali.